Post by Admin on Jun 7, 2015 4:17:15 GMT
“"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm'
'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu
yalikutana nao nilipofungua mtandao wa kijamii wa
‘facebook’,sikumbuki kama nilijifikiria mara mbili
kwani niliona ni jambo la kawaida sana kukutana na
'notifications’ kama hizo,na mara zote neno confirm
(kubali) lilipata fursa ya kutumika. Hivyohivyo hata
kwa Reshmail nilifanya hivyo."You and reshmail are
now friends" ndio ujumbe ulionisindikiza baada ya
kukubali ombi lile kutoka kwa Reshmail.
* * * * *
Ni kijana mtanashati niliyebahatika kukutana nae
pale chuo kikuu cha mtakatifu Augustine Mwanza,
alijipenda kuanzia ndani ya chumba chake hadi
mwili wake,ilikuwa ni nadra sana kumfumania akiwa
amevaa nguo aliyoivaa jana,bila kumnyima haki
yake nasema alikuwa anapendeza kila siku,macho
yangu ya kipelelezi na kamera zangu za kipaparazi
kamwe hazikufanikiwa kumjua aliyekuwa ubavu wa
pili wa bwana huyu yaani 'MPENZI'. Ukipenda
waweza kuniita kimbelembele lakini ukiniita hivyo
basi majina hayo yatakuwa mengi pale chuoni kwani
wengi walikuwa na shauku kubwa ya kujua siri hiyo
na kamwe hawakufanikiwa.
Binadamu hatuna dogo watu washaanza kusema eti
huenda jamaa ana matatizo makubwa tu mwilini
mwake ndio maana yuko peke yake licha ya
kushobokewa na wasichana warembo, mh! mimi
sikuwa mmoja wao lakin nilijiuliza pia kulikoni??
Makala mbovu zilizokuwa zinaandikwa na gazeti la
chuo lililojulikana kama ‘Saut voice’ ndo
zilinizonivuta zaidi kutaka na mimi siku moja
kuandika katika gazeti hilo lililokosa mvuto siku za
hivi karibuni makala nzuri itakayorudisha heshima ya
gazeti hilo.Taratibu nilijenga mazoea na hatimaye
nikafanikiwa kumzoea "THE MOST WANTED" ucheshi
wangu ndio uliomvutia zaidi kupenda kuwa karibu
nami pamoja na mchezo wa mpira wa miguu kwani
wote tulikuwa mashabiki wakubwa,haukupita mwezi
mzima nikawa nina uwezo wa kuanza kazi yangu,ni
mimi na Adam Michael kwenye meza moja chumban
kwangu ananipa hadithi yake ya maisha
yaliyomfanya awe kama alivyo.
"Aah!! jamani Reshmail..." alianza Adam,yangu
masikio na macho nikaanza kusikiliza kwa makini.
** ** **
Hadi anafika mwaka wa pili kimasomo chuoni
mtakatifu Augustine Mwanza kitivo cha sheria Adam
aliitumia simu yake ya mkononi kwa ajili ya
kupiga,kutuma ujumbe (sms) na kupokea ni hayo tu
na kwa upande wa pili alipenda sana kucheza
michezo ya simu (game) ya kwenye simu.
Alikuwa ni Hughorito Hamada ama maarufu kama
'HUHA'.hakuwa tu rafiki yake adam bali pia alikuwa
ni mshirika wake wa chumba (room mate) na pia
walisoma darasa moja la sheria pale chuoni,ni huyu
aliyemuingiza Adam katika ulimwengu ambao
hatausahau kamwe,tabia yake ya kupenda kuazima
simu ya Adam aina ya Nokia Express music kwa
dhumuni la kuchat katika mtandao maarufu wa
kijamii wa ‘facebook’ ndio ilimshawish Adam naye
kuanza kujiuliza kulikoni hasahasa alipokuwa
anamwona Huha akicheka mwenyewe kila
anapokuwa anachat,"Mh! we jamaa yangu chizi
kweli yaani unacheka na watu usiowaona" Adam
alimkebehi Huha alipokuwa anacheka na simu yake
punde tu baada ya kuanza kuchat
"Kwani we ukiwa unaota unaongea huwa kuna watu
mbele yako?" Huha alijibu mashambulizi na Adam
akabaki kimya na taulo yake kiunoni akaenda bafuni
kuoga.
"Mwanangu nimekuunga na wewe namba yako ya
siri ni..,.." hata kabla Huha hajamaliza adam
akamkatisha "Nini? huo upumbavu wako sitafanya
kamwe bro" ..."Hv kwan inakuwaje huo upuuzi"
Adam akajikuta anauliza baada ya kuwa amevaa
nguo zake "Hii kitu inaitwa FACEBOOK,yan adam
ukijiunga wewe hutoki na utakuwa nayo bize kweli"
Adam alisikiliza kwa makin japo alijidai kufanya
dharau machon,Huha hakujali aliendelea kutoa
somo had Adam akapata mwanga,"Mh. Sidhani
kama itanivutia bt i wil try". Alijisemea adam wakati
anachukua simu yake.
****
Tabia ya Adam ilikuwa imebadilika ghafla ni Adam
na facebook,facebook na yeye,iwe
barabaran,club,lecture room,hostel yani kasoro
mskitini tu ndio Adam aliweza kuhfadh simu
yake.Sio Huha wala rafiki yake yeyote aliyejua nini
zaid ya facebuk kimemuathiri adam wa
watu.Hakumuazima tena Huha simu,hakutaka
mazoea na wasichana ni yeye na simu yake tu!!
"Adam mbona washkaji wanalalamika eti
wanakuomba urafiki facebook unachomoa? siku
moja Huha aliamua kumuuliza Adam baada ya
kuona tabia yake imekuwa ya ajabu mno
kupindukia."Sitaki that's all". Ndio jibu fup
alilopewa.kisha adam akajiondokea.Huha akabaki
ameduwaa asijue la kufanya,mara ghafla adam
akarudi tena "Huha naomba ukamwambie Halima
simtaki,usiniulize kwa nini mwambie SIMTAKI!"
adam alimwambia Huha kana kwamba alimfumania
huyo halima.
Mpenzi msomaji Halima alikuwa binti matata pale
chuoni kwa kipind kile,Adam ndo alipata fursa ya
kuangukia penz lake,penzi lao chuo kizima
walifahamu,gari ya Halima ilikuwa kama ya
Adam..chumba cha Halima kilipambwa picha na kad
za Adam lait na Adam angekuwa anakaa peke yake
basi hata yeye chumba chake kingekuwa had na
nguo za ndan za Halima pamoja na pedi bas tu
alikuwa anakaa na Huha.
Huha alibak mdomo waz akijiuliza ni Adam au kivuli
chake kinaongea.Alikuwa Adam sio kivuli.....
Ubize aliokuwa nao mheshimiwa mbunge
ulimkosesha raha mkewe bi.Gaudensia
Ogunde,hakuipata haki yake ndoa kwa takribani
mwezi mmoja sasa,mume alikuwa anachelewa
kurudi na akirudi anakuwa amechoka sana kutokana
na majukumu mazito ya kiserikali,na ikitokea siku
akathubutu kujaribu kutoa huduma basi alikuwa
hamridhish mkewe,taratibu mama akajaribu kuzoea
lakini kuna wakat uvumilivu ulikuwa
unamshnda,nyumba nzima alikuwa akiish
yeye,mtoto wake wa kike na msaidiz wa kazi (House
girl)."Mwanangu ni siku ya tatu baba yako halali
nyumbani,najisikia mpweke sana kulala mwenyewe"
bi.Gaudensia alimweleza mwanae kwa unyonge
"Pole sana mamii hata mi sipend hyo tabia ya baba,
leo nakuja kulala na wewe mama" alijibu yule binti
mwenye miaka 17 akiwa ndio kwanza amemaliza
kidato cha nne. Mama hakujibu kitu badala yake
alimkumbatia mwanae kwa sekunde kadhaa kisha
akamwachia huku machozi yakimlengalenga.
Majira ya saa tatu usiku mama na mwana walikuwa
kitandan wote wakiwa na night dress,kitanda
kilikuwa kikubwa lakin umbali wao ulikuwa karibu
mno,mapigo ya moyo ya mama yalikuwa juu
sana,jasho lilikuwa likimtoka mtoto kwa kasi air
condition iliyokuwa inapuliza haikuwa na maana
tena mama na mwana walijikuta katika hisia nzito
sana za mahaba,sio mimi wala wewe tunaojua
walipoanzia.
******
Reshmail Mtoto wa mwisho na pekee wa kike kati ya
watoto wanne wa mbunge wa jimbo la Kinondoni
Mheshimiwa Msuruli Haruna,hakupata kujua shida
katika maisha yake na urembo aliojaliwa pia
hakuufaham kwa sababu hakuwepo wa kumwambia
kuwa yeye ni mrembo,kuta na fensi ya sen'gen'ge
iliyozunguka mji wao haikumruhusu kutoka nje
hovyo hovyo,tofauti na siku ya kwenda msikitini
Resh alilazimika kusubiri hadi alipofikisha miaka
kumi na nne alipojiunga na kidato cha kwanza
katika shule ya st.marry's international ndio alipata
wasaa wa kujumuika na wananch wengne wa
Tanzania na nchi za jirani,elimu yote ya darasa la
kwanza hadi la saba aliipatia katika jumba la
kifahari la baba yake.
Mazoea ya kuish maisha ya peke yake peke yake
yalimtesa sana Resh kiasi kwamba hadi anamaliza
kidato cha nne aliweza kuwa karibu kiurafiki na
wanafunzi wachache na weng wao wakiwa
wasichana tena watoto wa matajiri na vigogo
mbalimbali wa serikali.Kampani kubwa ya Reshmail
alikuwa ni mama yake mzazi,yalikuwa ni mazoea
makubwa sana lakini yasiyoshangaza,mara nying
walikuwa wanatembea pamoja huku wameshkana
mikono huku wakifurah sana.
Kidato cha tano na sita katika shule ya Arusha
international school ndio kwa mara wa kwanza
ilimpeleka nje ya jiji la dar-es-salaam.
Resh alilia sana kutenganishwa na mama yake lakini
hakuwa na jinsi ilimlazimu kuondoka,mama
alishindwa kujizuia alilia kwa uchungu ambao
mumewe hakuutambua maana yake. "Nitakuwa
nakuja kukusalimia" bi Gaudensia alimnon'goneza
mwanae wakati akipanda gari la baba yake kuelekea
airport."Usiache mama".alijibu resh huku akimbusu
mama yake shavuni.
Mwanzoni ilianza kama utani pale Adam alipokubali
ombi la Reshmail kuwa marafiki,walikuwa
wakiulizana mambo ya kawaida sana huku katika
orodha ya marafiki wa Reshmail ni Adam peke yake
alikuwa mwanaume,"Mbona una marafiki wachache
au ndo umejiunga facebook?" adam alimuuliza
reshmail katika moja ya 'chatings' zao "No ni uamuzi
2 iam nt interested with boys i wonder why you?"
"May be iam someone special,who knows" alijibu
Adam, "You might be" alijibu reshmail."Yani hadi
mchumba wako hujamweka kwenye orodha?" "Sina
huyo mchumba unayemdhania" "What? msichana
mrembo kama wewe,au hizi picha sio zako?" "Ni
zangu kwani ukiwa mrembo lazima uwe na
mpenzi?"alisisitiza Resh kisha akaendelea "Naona
we upo kwenye uhusiano,hongera" aliandika Resh,ni
wanaume wachache sana akiulizwa na msichana
mrembo kama ana mpenzi halafu akubali na hata
kwa Adam ilikuwa hivyo,"Mh! nimejiandikia tu,mi
sina mtu nani wa kunipenda mimi?". Alidanganya
Adam,"What! hawakioni hcho kifua chako au na
wewe hiyo sio picha yako?"
"Ni ya kwangu,Reshmail una utani wewe"
"Sina utani nimekipenda sana"
"Haya asante,kwako wewe sina la kusema unavutia
kila upande"
"Asante lakini we zaidi,Adam naingia kuoga
nisindikize basi"
"Wee,si umeniambia mnakaa wanne sa wenzako
watanielewaje?" alijibu Adam huku akiamini kwamba
hayo yote yanayotokea ni utani mtupu.
"Kwa hyo ningekuwa peke yangu ungenisindikiza?"
"Yeah? ningekusindikiza lakini ningefumba macho"
alitania Adam.
"Vp ninatisha sana au,yan hadi ufumbe macho
sawa tu" alilalamika Resh,"Natania mrembo lakin si
unajua tena nitajiumiza"
"Ok! tuachane na hayo,simu yako inauwezo wa
kufungua e-mail?"
"Inafungua tena sasa hivi nilikuwa ninasoma emails"
alijibu adam.
"Ndio hii Adamboy@Yahoo.com?" "Yap ndio hyo"
"Fungua baada ya dakika tano uone zawadi yako"
Jasho jembamba huku mikono ikitetemeka,macho
yakiwa yamemtoka Adam hakuamin anachokiona
kwenye simu yake.
****
ITAENDELEA.................