Post by Admin on Jun 7, 2015 4:21:12 GMT
Ilikuwa ni picha ya binti mrembo sana akiwa
amejifunga taulo kwa chini huku chuchu zikiwa
nje,"Ndio natoka kuoga,vp nimetakata?" iliambatana
na ujumbe ule. Adamu alibaki mdomo wazi,mh!! hivi
inawezekana akawa Reshmail dah! alishangaa Adam.
Akiwa bado mdomo wazi email nyingne iliingia ilikuwa
picha tena,safari hii ilionyesha sehemu yote ya nyuma
"NIPAKE MAFUTA" ndio ujumbe uliobeba picha hyo.
Bila kujua muda gani na kwa misingi ipi Adam alikuta
pensi laini ikiwa imembana,kuja kugundua chanzo ni
sehemu flani kwenye mwili
wake ilikuwa imeongezeka ukubwa (Ha ha ha ha
wanaume dhaifu sana.
******************************
******************************
Majukumu ya hapa na pale yalikuwa yamembana sana
Bi.Gaudensia ambaye ni mama yake na Reshmail,pia
uwepo wa mumewe katika himaya yake ilimnyima
kabisa raha mama huyu na alikuwa anakosa nafasi ya
kwenda Arusha mara kwa mara kufurah na mwanaye
jambo ambalo lilimtesa kwa takribani mwezi mmoja na
nusu.
Vipindi vya bunge vilipoanza tena ndio hapo nafasi
ilipatikana tena,kwa muda wote ambao alikuwa jijin
dar-es-salaam Bi.Gaude alikuwa akiwasiliana na
mwanae karibia kila siku kwa njia ya simu,alijua ni
jinsi gan hata mwanae huyo alivyo'm-mis' hvyo
aliamua kumfanyia 'surprise' ya kwenda huko Arusha
shuleni bila kumwambia ili kuinogesha furaha yao
ambayo ilikuwa inakamilika kitandan.
"Baba Resh mie kesho naenda kumsabah
mwanetu,lakin hata simwambii nataka ashtukie
tu,mama huyo"
"Atashangaa kweli,msalimie sana mwambie nitakuja
kumsalimia bunge likimalizika" "Haya,zimefika"
* * * * * *
Penzi la ku-chat katika mtandao wa facebook lilikuwa
limemchanganya sana Reshmail wa watu, Adam
hakuwa nyuma kumpa maneno matamu ya hapa na
pale ambayo kamwe alikuwa hajawah kuyasikia
masikion mwake,Eve mwenyewe alimshangaa huyu
shoga yake lakin hakuwa nyuma kumpiga tafu katika
mpango mzima wa kumtia Adam majaribuni ndio
maana alimshawish Resh kupga picha mbaya ambazo
mwanaume yeyote akiziangalia lazima ajiulize mara
mbilimbili kuhusu urembo asilia wa binti yule.
"Mi nipo peke yangu siku hizi rum-mate wangu
ameenda kwao babake anaumwa" "Don't tell me kuwa
unalala mwenyewe"
"Nitafanyaje sasa na wewe upo mbali?"
"ooh! my ghosh! assume nipo hapo"
"Aah,nitajiumiza bure tu mpenzi wangu"
"Anarudi lini kwani?"
"Mh! amesema atatumia kama wiki mbili hivi,njoo basi
unipe 'kampan' kiaina"
Yalikuwa mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Adam
na Reshmail yaliyokatishwa na na mlio wa 'low battery'
katika simu ya Reshmail "Baby boy tutaongea
kesho,pole sana na ninakupenda sana" alimaliza Resh
na simu ikawa imezima.
"Eveline nataka kwenda Mwanza" asubuh ya siku
iliyofuata Resh alimwambia Eve.
"He! makubwa haya,imekuwaje kwan shoga" aliduwaa.
"Mi sijui lakin nataka kwenda tu" alisema Reshmail
"Haya lini wataka kwenda?"
"Hata kesho mi naenda tu" "Mh! sikuwez haya jiandae
kutoroka coz ruhusa hapa kupata sahau" "Vyovyote
poa ninachotaka ni kuondoka na kwenda Mwanza
that's all" alijibu kijasiri Resh hali iliyomduwaza
eveline.
* * * * * *
"Reshmail hayupo? mbona jana alikuwa hapa ofisin?"
mwalimu wa zamu alikuwa anamuuliza mwanafunzi
aliyeagizwa kumuita Reshmail baada ya mama yake
kuwa amefika,"Hata mi sijui mwalimu"
"Hapana sio jambo la kawaida reshmail kutokuwa
mazingira ya shule tena jumatatu! hebu mwambie
time-keeper agonge kengere mara moja" aliamrisha
mwalimu.
******
Hakuwa hata na chembe ya utani Reshmail wa
watu,majira ya saa moja asubuhi tayari alikuwa
kwenye gari la KIMOTCO ninalotoka Arusha kwenda
Musoma kwa kupitia Mugumu Serengeti,kitu
kinachoitwa hofu moyoni hakikuwepo hata kwa mbali,
Ndani ya kipochi chake kidogo alikuwa na pesa
taslimu za kitanzania shiling laki mbili zikisindikizwa
na kadi ya viza ya CRDB iliyokuwa na uwezo wa kutoa
shiling laki tano kwa siku mara nne yaani milioni mbili
zilikuwa zimehfadhiwa katika acount yake ya akiba.
Mamaa wa shughuli (Eveline) alikuwa pembeni ya
Reshmail,hofu kwake haikuwepo wala hakuiwaza
tayari alikuwa mzoefu wa mambo hayo.
"Eveline yani akili ndo inakuja sasa hivi eti kwa nini
tusingepanda ndege dah! gari linaenda taratibu hilo
jaman"
alilalama Reshmail kwa wananch wa kawaida
waliomsikia walidhani ni mashauzi na majigambo ya
watoto wa kike
"Mh? shoga ulivyokuwa na hamu ungekumbuka
hayo,tutafika weye acha papara"
Gari lilizidi kuchanja mbuga za ngorongoro kwa kasi
ya kawaida hadi majira ya saa saba tairi chakavu za
gari hili zilikuwa tayari kwenye mbuga za Serengeti.
Resh alikuwa macho anatazama safari inavyokwenda
huku akihesabu masaa yanavyokatika kwa kasi huku
mwisho wa safari ukiwa haufiki.
Eve yeye alikuwa ameuchapa usingzi huku akiwa
amejifunika uso wake kwa kofia yake nyeusi ambayo
vumbi ilikuwa imeibadili rangi yake na kuwa ya ugoro.
(Brown).
"Eve Eve Eve,amka uone wewe" Resh alikuwa
anamwamsha kwa fujo.
"Angalia hii sms imeingia sasa hv" "Resh mazako kaja
unatafutwa uko wap?"
jasho jembamba likaanza kumtoka Resh lakin Eve
hakushtuka sana.Walikuwa wametumiwa ujumbe
mfupi na mmoja wa viranja."Eve tumeisha tumeisha"
* * * * * * * *
ITAENDELEA.................